Umoja wa Mataifa watahadharisha mauaji ya kimbari Jamhuri ya Afrika ya Kati

Naibu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha  mauaji ya kimbari Jamhuri ya Afrika ya Kati

Umoja wa Mataifa watahadharisha mauaji ya kimbari Jamhuri ya Afrika ya Kati

Naibu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha  mauaji ya kimbari Jamhuri ya Afrika ya Kati

Adama Dieng  naibu  wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ambae anahusika na uongozi katika kukinga  mauaji ya kimbari amesema kuwa hatua zichukuliwe Jamhuri ya Afrika ya Kati ili kuzuia mauaji ya kimbari kutokea.

Adama Dieng alikuwa katika ziara ya kikazi Jamhuri ya Afrika ya Kati Oktoba 6 hadi Oktoba 11.

Akifanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu Jamhuri ya Afrika ya Kati alisema kuwa viashirio vya mauaji ya kimbari nchini humo vipo wazi.

Katika mkutano huo waliwatahadharisha pia wanaochochea mauaji na chuki baina ya raia.Habari Zinazohusiana