Waziri wa ulinzi ajiuzulu Somalia

Waziri wa ulinzi na kiongozi wa jeshi la Somalia, Abdirashid Abdullahi Mohamed amejiuzulu.

Waziri wa ulinzi ajiuzulu Somalia

Waziri wa ulinzi na kiongozi wa jeshi la Somalia, Abdirashid Abdullahi Mohamed amejiuzulu.

Kwa mujibu wa habari,waziri huyo amejiuzulu wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri siku ya Alhamisi.

Waziri wa masasiliano amewataarifu waandishi wa habari na kusema kuwa wanamtakia kila la kheri  waziri huyo.

Baraza la mawaziri pia limetangaza kamanda mkuu mpya wa  jeshi la Somalia.

Waziri huyo ni wa kwanza kujiuzulu katika bara za la waziri mkuu Hassan Ali Khaire.Habari Zinazohusiana