Mtazamo wa sera za nje za Uturuki

Mtazamo wa sera za nje za Uturuki

Mtazamo wa sera za nje za Uturuki

 

Rais wa Uturuki TRecep Tayyıp Erdoğan hivi karibuni alifanya zşara rasmi katika mataifa matatu barani ikiwa. Mataifa hayo aliotembelea rais wa Uturuki niş Sudan, Chad na Tunisia. Ziara hiyo ilikuwa ziara yake ya mwisho ya mwaka 2017.

Hivyo basi tutazungumzia kuhusu ziara yake hiyo katika mataifa hayo matatu barani Afrika katika kipindi chetu  mtazamo wa sera za nje za Uturuki.

Rais Erdoğan alitembelea nchini Suadan, Chad na Tunisia kuanzia Disemba 24  na ziara yake kumalizka Diseimba 27.

Viara hiyo ni katika lengo lakuimarisha ushirikiano bain aya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika.  Katika mazıngumzo yake na viongozi katika mataifa amabyo rais wa Uturuki alitembelea kulijadiliwa ushirikiano katika sekta ya uchumi na ulinzi. Katika ziara yake hiyo kituoa chake cha kwanza ilikuwa nchini Suadan. Suadn ni miongoni mwa mataifa ambayo yanaongoza katika nyanja tofauti barani Afrika.  Zaidi ya miaka 20 Sudan inakabiliwa na vikwazo vya kiuchumi na kisiasa.

Katika kipindi kiliopo na kutangazwa kupndolewa kwa baadhi ya vikwazo vilivyokuwa vikiikabili Sudan kumepelekea  kuanzishwa kwa mara nyingine  mashirika makubwa.

Raia Erdoğan alishirikiana na wafanya biashara zaidi ya 200 kutoka Uturuki katika ziara yake hiyo. Katika ziara hiyo mikataba 13 ilitiwa saini bain aya Uturuki na Suadan. Mikataba hiyo ilisainiwa  katika sekta ya uchumi,  utamaduni na jamii. Raia wa Sudan walimiminika mabarabarani kumpokea kwa shangwe rais Erdoğan wakiwa na bendera za Uturuki na Sudan.

Rais Erdoğan alitembelea pia kisiwa cha Suakin, kisiwa ambacho kilikuwa kituo muhşmu katika kipindi cha Utawala wa Othmania nchini Sudan. Kisiwa hicho kilikarabatiwa na shirika la TIKA. Rais Erdoğan na rais wa Sudan Omar al Bashiri walizungumza kuhusu kisiwa hicho.

Kisiwa hicha cha Suakin kilikuwa kituo muhimu  cha biashara baina ya Misri, Syria na mataifa ya bahari ya Sham.

Mwishoni mwa karne ya 15 Ureno ilivamia kwa kushambulia uongozi wa kiislamu  uliokuwepı Magharibi mwa bara la Afrika na kusababisha uharibifu mkubwa.

Uvamizi huo ulipelekea kisiwa hicho kutekwa na Ureno mwaka 1513.

Wakati wa utawala wa sultan Yavuz Selim, bahari ya Sham kuanzia Syria hadi Misri ilikuwa chini yahimaya yake.

Vile vile maeneo tofauti Afrika Mashariki yalivamiwa na Ureno.

Uturuki imechukuwa jukumu la kurabati kisiwa hicho cha Suakin ambacho kinatambulika kwa historia yake. Biashara na utali vitachukua hatamu. Eneo hilo litapewa kipaumbelea kwa kuwa ni eneo ambalo litatumiwa kuimarisha usalama katika ukanda wa bahari ya shamu. Ufanisi wa eneo hilo ni katika ushirikiano uliopo bain aya Uturuki na Sudan.

Katika muda ujao Somalia katika kudumisha amani na Yemen pia ikiwemo.

Baada ya kuondoaka nchini Sudan rais Erdoğan alijielekeza nchini Chad akishirikiana na tume aliokuwa nayo. Ushirikiano baiana ya Uturuki na Chad upo tangu karne ya 16.  Katika miaka ya nyuma Uturuki na Chad  zimechukua atua mpya katika ushirikiano.

Waziri mkuu wa Chad Kalzeubé Payimi Deubet alitembelea Uturuki Disemba 15 hadi Disemba 18 mwalka 2004 kwa mara yake ya mwisho. Mikataba tofauti ya uushirikiano ilitiwa saini. Katika ziara hiyo nchini Chad, amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akar pia alishirikiana na rais Erdoğan.  Amiri jeshi mkuu wa Uturuki kutembelea nchini Chad ni fursa kushirikiana katika mapambano dhidi ya ugaidi ambapo Chad ipo mstari wa mbele. Chad na Uturuki zimesaini mikataba katika sekta tofauti.

Ushirikiano bain aya Tunisia na Uturuki vile vile upo kwa kipindi cha muda mrefu katika historia na ushirikiano wa kitamaduni.  Kwa muda miaka zaidi ya 300 Uturuki na Tunisia  zilikuwa katika ushirikiano mzuri.

Ziara ya mikutano tofauti iliofanyika mwaka 2012 ilipelekea mataifa hayo kuwa na ushirikiano mzuri. Katika ziara ya mwaka 2013 mwezi Juni, mkutano wa kwanza wa ushirikiano ulifanyika Juni 5 hadi Juni 6.

Uwepo wa Uturuki barani Afrika kwas asa unaoneka kuwa  katika sekta kama utamaduni, kimkakati, uliniz na hata kisiasa.  Uwepo wa Uturuki ni katika mataifa yote barani Afrika na sio kama ulimwengu wa Magharibi unavyodai kuwa Uturuki inajihusisha tu na mataifa ya kiislamu.

Rais wa Uturuki amezungumza na viongozi tofauti barani Afrika kuhusu utatuzi wa tofauti zinazojitokeza baina ya ma taifa ya Afrika kuyatatua chini ya misingi inayokwenda sambamba na falsafa za kitamaduni za Afrika.

Rais Erdoğan kwa ujumla ametembelea mataifa 28 barani Afrika. Shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines linataraji kuongeza vituo vyake katika mataifa tofauti barani Afrika.

Shirika la TIKA n a mashirika mengine kutoka Uturuki kama Maarif tayari yamoensha uweza wake katika ushirikiano.Habari Zinazohusiana