Rais wa zamani wa Liberia apewa tuzo ya Mo Ibrahim

Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson atunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim

Rais wa zamani wa Liberia apewa tuzo ya Mo Ibrahim

 

Ellen Johnson rais wa zamani wa Liberia na rais wa kwanza mwanamke katika bara la Afrika atunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim

Tuzo hiyo ni pamoja na kiiwango cha dola milioni 5.

Ellen Johnson alichaguliwa kuwa rais wa Liberia katika kipindi kigumu mwaka 2006.

Ellen aliongoza Liberia katika kipindi ambacho taifa hilo lilikuwa likitoka katika kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Ellen amechukuliwa kama mfano wa demkrasia katika kipindi cha miaka 10 alioongoza nchini Liberia.Habari Zinazohusiana