Watu 41 wafariki katika mapigano ya kikabila Jamhuri ka Kidemokrasia ya Kongo

Watu 41 wamefariki katika mapigamo ya kikabila yalitokea  Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo

Watu 41 wafariki katika mapigano ya kikabila Jamhuri ka Kidemokrasia ya Kongo

Watu 41 wameripotiwa kuafriki katika mapigano ya kikabila yaliotkea  Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mapigano hayo  yametokea baina   ya  jamii ya Lendu ikiwa jamii ya wakulima na jamii ya Hema  ambao wengi wao ni wafugaji Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Kiongozi wa jamii ya Bahema Kaskazini Willy Mulindo ameliambai shairika la habari la Anadolu kuwa  jamii ya Lendu  ilishambulia vijiji vya Kayuba, Jo na Gbi na kusababisha fivo vya watu 39 .

Taarifa zilizotolewa na  kituo cha redia ya Okapi zilifahamisha kuwa  kitongoji cha Ngaliko wahalifu  waliwaua watu wawili na kumteka mmoja.Habari Zinazohusiana