Mafuriko yaathiri jiji la Dar Es Salaam nchini Tanzania

Mafuriko makubwa yatokea mjini Dar Es Salaam nchini Tanzania

Mafuriko yaathiri jiji la Dar Es Salaam nchini Tanzania

Watu 7 wameripotiwa kufariki kufuatia mafuriko makubwa  yaliosababishwa  na mvua kali zilizonyesha  mjini Dar Es Salaam nchini Tanzania.

Waathirika wa kwanza wa mafuriko hayo ni wakaazi  wa maeneo ya mabondeni.

Wakaazi wa jiji la Dar Es Salaam wamelazimika kusalia katika majumba yao kutokana na mafuriko hayo ambayo yamewazuia  kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Huduma ya uchukuzi katika maeneo tofauti imesimamishwa  kutokana na mafuriko.Habari Zinazohusiana