Maafisa wa magereza wapewa mafunzo ya kuzuia mateso kwa wafungwa Morocco

Warsha uliandaliwa katika mji mkuu wa Rabat kusaidia kutoa mafunzo kwa maafisa wa magereza katika kuhakikisha wafungwa hawateseki.

Kwa mujibu wa habari,maafisa hao wamepewa mafunzo ya jinsi ya kukabilina na wafungwa wake na njia za kuzuia mateso kwa wafungwa hao.

Warsha huo umeandaliwa kwa kushirikiana na ubalozi wa Netherlands

Warsha huo wa siku moja ulifanywa kwa lengo la kusaidia kutunza haki za binadamu nchini Morocco.

Kumekuwa na mjadala wa hapa na pale kuhusu kunyanyaswa na kuteswa kwa wafungwa na maafisa wa usalama.

Warsha huo umelipatia ufumbuzi tatizo hilo..

 Habari Zinazohusiana