Wahamiaji haramu 74 waokolewa na kikosi cha wanamaji  nchini Libya

Wahamaijai haramu 74 waokolewa na kikosi cha wanamaji  waliokuwa wakşsafiri kuelekea barani Ulaya wakitokea nchini Libya

Wahamiaji haramu 74 waokolewa na kikosi cha wanamaji  nchini Libya

Uongozi wa kikosi cha wanamaji nchini Libya kimefahamisha kuwaokoa wahamşjai haramu waliokuwa katika mashua ndogo wakisafiri kuelekea  barani Ulaya.

Watu waliookolewa ni pamoja na  wanawake 40, watoto watano.
Wahamiaji hao ni kutoka katika mataifa tofauti  barani Afrika.
Kikosi cha Polisi kilifahamisha  juma lililopita kuokota miili ya watu 11   na kuwaokoa wengine 83.Habari Zinazohusiana