"Inaskitisha kuona baadhi ya mitaa na vitongoji vinapewa majina ya wanajeshi wa Ufaransa"

Waziri wa elimu wa zamani wa Senegal asema kuwa inaskitisha lkuona kuwa baadhi ya vitongoji na mitaa vinapewa majina ya wanajeshi wa zamani wa Ufaransa

"Inaskitisha kuona baadhi ya mitaa na vitongoji vinapewa majina ya wanajeshi  wa Ufaransa"

Ibaa Der Thiem, waziri wa zamani wa elimu wa Senagal na mwanahistoria asema kuwa ni jambo la kuskitisha kuona kuwa hadi sasa baadhi ya mitaa na vitongoni nchini Senegal vinapewa majina ya wanajeshi  wa Ufaransa.

Kwa mujibu wa waziri huyo wa zamani wa elimu wa Senegal , majina yanayopewa vitongoji hivyo ni wanajeshi ambao walikuwa wakiwashambulia wanaharakati wa uhuru katika harakati za kujikomboa kutoka katika ukoloni.

Viongoni na wanaharakati wa uhuru ikiwemo viongozi wa kidini waliuawa na wanajeshi  wa Ufaransa wakati wa kupigania uhuru.

 Habari Zinazohusiana