Watu sita wapoteza maisha katika shambulizi nchini Somalia

Watu sita wamepoteza maisha katika shambulizi la bomu lililofanyika katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia.

Watu sita wapoteza maisha katika shambulizi nchini Somalia

Watu sita wamepoteza maisha katika shambulizi la bomu lililofanyika katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia.

Gari hilo lenye bomu lililipuka katika eneo karibu na ikulu ya rais.

Kati ya watu sita waliofariki,mmoja alikuwa ni mshambuliaji.

Ripoti zimeonyesha kuwa kundi la Al Shabaab limehusika na shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana