Idadi ya watu waliofariki baada ya kivuko kuzama ziwa Nyanza Tanzania yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofarika katika ajali iliopelekea kivuko cha MV Nyerere kuzama katika Ziwa Nyanza  nchini Tanzania yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofariki baada ya kivuko kuzama ziwa Nyanza  Tanzania yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika ajali iliopelekea kivuko cha MV Nyerere kuzama katika Ziwa Nyanza nchini Tanzania yazidi kuongezeka na kufikia wa 100.

Kivuko hicho MV Nyerere kimezama Alkhamis  majira ya  alasiri kikiwa na watu zaidi ya 500 kama wanavyofahamisha washahidi  katika eneo la tukio. Huenda idadi ikazidi kuongezeka kwa kuwa uokozi bado unaendelea.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na rais Rwanda wamekwishatuma salamu za rambirambi kwa raia wa watanzania waliofiwa.

 

 Habari Zinazohusiana