Swali la Mwezi

Ni nchi gani ambayo imeandaa michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi mwaka 2018?

  1. China
  2. Korea Kusini
  3. Japani

 

 

Watu watatu wa kwanza watakao jibu vema  watakuwa washindi na kupewa zawadi  kutoka katika ofisi zetu za Idhaa Sauti ya Uturuki.

Mnaweza kutuma majibu yenu kwa kutumia anuani yetu ya hadi idikapo Machi  31 mwaka 2018.


Jibu swali la mwezi