Operesheni dhidi ya DAESH yaendelea Mosul

Operesheni dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH inaendelea mjini Mosul nchini Iraq.

Operesheni dhidi ya DAESH yaendelea MosulOperesheni dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH inaendelea mjini Mosul nchini Iraq.

Kwa mujibu wa habari,ni majimbo manne ndio yamebaki chini ya utawala wa kundi hilo mpaka sasa.

Katika mashambulizi yaliyofanywa na DAESH takriban watu 30 wamepoteza maisha huku wengine 40 wakiwa wamejeruhiwa.

Hata hivyo ripoti zinaonyesha kuwa kuna baadhi ya magaidi waliouawa na polisi wakati wa mashambulizi hayo.

Operesheni hiyo ilianza mapema mwezi Oktoba mwaka 2016.

Mpaka kufikia mwezi wa kwanza mwaka 2017 maeneo ya mashariki ya nchi hiyo yaliweza kukombolewa kutoka katika mikono ya magaidi.

Mpaka sasa miji minne iliyobaki katika utawaka wa DAESH hairuhusiwi kufanya mawasiliano yoyote na watu wa nje.

 

 


Tagi: DAESH , Mosul , Iraq

Habari Zinazohusiana