Pakistan haitotuma wanajeshi wake Qatar

Pakistan yakanusha kutuma wanajeshi wake nchini Qatar kufuatia mzozo ulioibuka

Pakistan haitotuma wanajeshi wake Qatar

Pakistan yakanusha kutuma wanajeshi wake nchini Qatar kufuatia mzozo ulioibuka

Serikali ya Islamabad imekanusha Jumapili madai yaliochapishwa na vyombo vya habari kuwa itatuma wanajeshi wake nchini Qatar kufuati a mzozo uliozuka bain aya Qatar na mataifa kadha ya Ghuba.

Katika tangazo  lililotolewa na ofisi ya wizara ya mambo ya nje ya Pakistan ni kwamba serikali ya Islamabad haitotum a wanajeshi wake nchini Qatar kama ilivyofahamishwa na baadhi ya vyombo vya habari.

Vyo mbo hivyo vy habari vilifahamisha kuwa wanajeshi 20 000 wa Pakistan watatumwa nchini Qatar.

Tangazo hilo limesema kuwa bila shaka taarifa hizo zilikuwa na nia ya kuzua mtafaruku bain aya Pakistan na mataifa ndugu ya Ghuba kufuatia mzozo wa Qatar.

Nawaz Sharif alisema kuwa mzozo wa kidiplomasia utatatuliwa kwa mazungumzo.


Tagi: Qatar , Pakistan

Habari Zinazohusiana