Umoja wa ulimwengu wa kiislam wasambaratika

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Numan Kurtulmuş asema kuwa kuwa ulimwengu wa kislamu wasabaratika badala ya kuwa kitu kimoja

Umoja wa ulimwengu wa kiislam wasambaratika

 

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Numan Kurtulmuş asema kuwa kuwa ulimwengu wa kislamu wasabaratika badala ya kuwa kitu kimoja

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Numan Kurtulmuş asema kuwa Ulimwengu wa kiislamu wasambaratika badala ya kudumisha Umoja.

Badala ya kutoa wito wa umoja ulimwengu wa kiislamu unashuhulishwa na masuala ambayo yanazidi kuusambaratisha uimwengu wa kiislamu.

Hayo naibu waziri mkuu wa Uturuki aliyafahamisha katika hafla ya iftar  ilioandaliwa mjini Istanbul na kuwataka raia wa Uturuki kutafakari kuhusu  jambo hilo.

Naibu waziri mkuu Numan Kurtulmuş amezungumzia na kukemea vikwazo vilivowekwa dhidi ya Qatar na baadhi ya nchi za Ghuba.

Kuhusu vikwazo hivyo hivyo naibu waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa huenda kuna ajenda ya siri.

Numan Kurtulmuş amesema kuwa  maendeleo ya Uturuki na juhudi zake  katika ulimwengu wa kiislamu ni mfano wa umoja.

Makundi kama PKK, FETÖ na Daesh yanatumia kudhoofisha ukanda.Habari Zinazohusiana