Mzozo wa Qatar utatatuliwa kwa mazungumzo

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu asema kuwa mzozo wa Qatar utatatuliwa kwa mazungumzo

Mzozo wa Qatar utatatuliwa kwa mazungumzo

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu asema kuwa mzozo wa Qatar utatatuliwa kwa mazungumzo

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu  amesema kuwa mzozo ulioibuka bain aya Qatar na baadhi ya mataifa ya Ghuba  utapatiwa suluhu kupitia mazungumzo.

Katika ziara yake Skopje waziri wa mambo ya nje wa Uturuki alisema kuwa Uturuki itaendelea kuiunga mkono Macedonia  katika harakati zale za kutaka kujiunga na muungano wa NATO.

Vile vile waziri mkuu wa Uturuki alizungumzi kuhusu  mizozo tofauti katika  ukanda huo.

Mevlüt Çavuşoğlu alifanya mkutano na waandishi wa habari akishirikiana na waziri wa mambo ya nje wa  Macedonia Nikola Dimitrov ambapo walizungumzia masuala tofauti.

Macedonia na Uturuki ni mataifa ambayo kwas asa yanao ushirikiano wa kidiplomasia kwa muda wa miaka 25.Habari Zinazohusiana