Rais Erdoğan atoa salamu za rambi rambi kwa familia ya meya wa Tutin

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan alitowa salamu za rambi rambi  kwa familia ya meya wa Tutini huko Serbia, Semsudin Kucevic, ambaye alikufa katika ajali ya barabarani

Rais Erdoğan atoa salamu za rambi rambi kwa familia ya meya wa Tutin

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan alitowa salamu za rambi rambi  kwa familia ya meya wa Tutini huko Serbia, Shemsudin Kucevic, ambaye alikufa katika ajali ya barabarani.

Kulingana na taarifa iliyotolewa Alhamisi na ikulu ya Uturuki, Erdoğan alipigia simu mjane wa Kucevic.

Rais  wa Uturuki alionyesha kuhuzunika kwa kifo cha Kucevic na akatowa salamu za rambi rambi  kwa familia ya marehemu.

Wakati wa ziara yake rasmi nchini Serbia, Erdoğan alikutana na Shemsudin Kucevic  Jumatano katika mkutano wa jiji la Novi Pazar.Habari Zinazohusiana