Idara ya ulinzi ya Marekani yatiwa shaka na kuondoka kwa jeshi la Urusi nchini Syria

Idara ya ulinzi ya Marekani yatiwa shaka na hatua ya Putin kuamuru jeshi lake kuondoka nchini Syria

Idara ya ulinzi ya Marekani yatiwa shaka na kuondoka kwa jeshi la Urusi nchini Syria

Kwa mujibu wa msemaji wa idara ya ulinzi wa Marekani matamshi ya rais wa Urusi Vladimir Putin  kuhusu jeshi lake kuondaka nchini Syria  ni kinyume na hali alisi ya vikasi vyake nchini humo.

Idara ya ulinzi ya Marekani imetia shaka  Jumatatu kutangazwa kuondoka kwa jeshi la Urusi Syria.

Rais wa Urusi Vladimir Putin alitangaza hapo Jumatatu katika ziara yake ya kushtukiza nchini Syria kuwa jeshi lake linaondoka nchini humo.

Msemaji wa idara ya ulinzi wa Marekani Robert Manning aliyafahaisha hayo katika mkutano na waandishi wa habari mjini Washington.

 Habari Zinazohusiana