Waziri mkuu wa Palestina atolea wito UN kuwajibika ipasavyo kusitisha ubabe wa Israel

Waziri mkuu wa Palestina Rami Hamdallah ametolea wito Umoja wa Mataifa kuwajibika ipasavyo

Waziri mkuu wa Palestina atolea wito UN kuwajibika ipasavyo kusitisha ubabe wa Israel

Waziri mkuu wa Palestina Rami Hamdallah ametolea wito Umoja wa Mataifa kuwajibika ipasavyo

Waziri mkuu wa Palestina Rami Hamdallah ametolea wito Umoja wa Mataifa na baraza lake la usalama kuwajibika ipasavyo na kuzuia Israel kuzidi kukalia kimabavu ardhi ya wapalestina ikiwemo Jerusalem Mashariki.

Waziri mkuu wa Palestina amefanya mazungumzo na waandishi wa habari na kuyafahamisha hayo.

Waziri Rami aliendelea kusema kuwa raia wote wa Palestina wakiungwa mkono na ulimwengu wanapinga uamuzi wa Trump kutangaza kuwa serikali yake inatambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.Habari Zinazohusiana