Uturuki na Mtazamo wa Mashariki ya Kati

Uturuki na Mtazamo wa Mashariki ya Kati

Uturuki na Mtazamo wa Mashariki ya Kati

kwa muda mreu tunashuhudia jambo ambalo haliridhisha hata mara moja kuona kuwa wapalestina  wanatendewa vitendo vya unyanyasaji huku ardhi yao ikikaliwa kimabavu huku Marekani ikatazama kwa macho yake mawili na kuipa Israel haki katika unyanyasaji wake dhidi ya wapalestina. 

Uamuzi wa serikali ya Trmup kutangaza na kutambua kuwa Jerusalem ni mji mkuu wa Israel ni jambo ambalo tumeshuhudia athari zake Mashariki ya Kati.

Vile vile tumeona kile ambacho kilikuwa katika ajenda kujitenga kwa eneo ambalo lililkuwa likiongozwa na Masud Barzani.

Eneo hilo lilitolewa wito wa kura ya maeni kwa kuwa kulijitokeza shauku ya kutaka kujştenga. Marekani iliunga mkono eneo hilo kuandaa kura ya maoni ili eneo hilo liweze kujitenga.

Bila shaka uhatari wa kujigawa katika eneo la Mashariki ya Kati ni zaidi ya athari ambazo zinaweza kusbabishwa na bomu la nyuklia.

Ulimwengu wa kiislamu  ulifaulu kuonesha msimamo kwa pamoja licha ya mataifa mengine kutoka na mtazamo kuhusu Jerusalem.

Disemba 16 mwaka 2017 katika mkutanao wa shirikisho la kiislamu ulioandaliwa mjini Istanbul baada ya kutolewa wito na Uturuki, ni wazi kuwa mkutanao huo ulionesha ni kiasi gani kwas asa ulimwengu wa kiislamu umeelewa  umuhimu wa ushirikiano katika kutafuta suluhu katika matatizo yanayojitokeza.

Zaidi ya miaka 200  katika historia eneo la mashariki ya kati ikiwemo Palestina ipo katika ya ghasia na mchafuko.  Uamuzi uliochukuliwa katika mkutanı wa Istanbul  ni zaidi ya umuhimu wa jiji la Jerusalem. Ni mara ya kwanza kwa ulimwengu wa kiislamu kuonesha umsimamo wake kwa pamoja dhidi ya Israel na Marekani mshirişka wake.

Suala la kihistoria kuhusu Jerusalam na ulimwengu wa kiislamu limeweza kuvukwa kwa kujiondoa minyonyora na mtazamo finyu uliokuwa umejaa fikra zilizokinyume  kuhusu uwezo wa kuingilia kati na kutatua mzozo huo.

Mitazamo tofauti ilijikeza na kusema kuwa hakuna uwezo wa kujiunga kwa mataifa ya kiislamu kupinga Marekani na Israel.

Hatuo iliofikiwa kwas asa inaonesha matumaini makubwa kwa kuona pia ushirikiano ulijitokeza katika kupigania  Irak, Syria na Yemen na kuzuia Libya iziendelee kuingia katika dimbwi. Ushirikiano umeonekana na wajibu kuingilia kati kuzuia mauaji bain aya wanandugu katika mataifa ya kiislamu kwa sababu yeyote ile.  Tunashuhudia wanamgambo wa kundi la kigaidi la Daesh wanavyoendesha mauaji dhidi ya wailsmu tangu kuzuka kwa maandamano yaliopiga tawala ambazo zilionekana kuwa hazina mfumo mzuri.

Chuki dhidi  ya uislamu imeongezeka kwa kiasi kikubwa.  Utawala wa al Sisi nchini Misri hauna uwezo kwas asa kuzungumza jambo lolote  ambalo litaonekana kupinga utawa wa Saudi Arabia.

Hakuna taifa wala kiongozi yeyote katika ulimwengu wa kiarabu anao uwezo wa kufafanua  ni naimna gani Israel inaweza kupewa Jeruslam. Kiongozi wa zamani Malik Kamil katika kipindi cha  zamani  aliwahi kujaribu.

Katika hali hiyo uongozi katika ulimwengu wa kiarabu unatakiwa kutambua umahiri wa Malik Kamil  katika ushindi  wake na kumtabua kama  alikuwa ni kamanda aliekuwa ukipendwa katika eneo la  kwa Mashariki kwa udilifu wake kwa jina la Salahaddin Ayubu. Kiongozi huyo aliukomboa mji wa Jerusalem kutoka mikononi mwa vikosi vya wanajeshi wa msalaba mwaka 1187 kwa kipindi cha miaka 88.  Kiongozi huyo alitolewa kashfa. Kemil kutoa mji wa Jerusalem kwa vikosi vya msalaba  jambo hilo lilisononesha Baghdad, Cairo na Damascus.

Kwa mara kwanza maandamano yaliandaliwa na Malik Kamil alilaaniwa . Kufutia ambo hilo hakuna ambae aliweza  kupinga kura katika mkutano wa shirikisho la kiislamu, mkutano wa baraza la umoja wa Mataifa .  Iwapo kungejitokeza taifa lolote kupinga basi daadhi ya tawala zingefikia ukingoni . Tawala hizo zilishikwa na ghufu ya maandamano.

Wito wa Uturuki  na uamuzi wa pamoja wa ulimwengu wa kiislamu ni mabadiliko makubwa  katika bazara kuu la Umoja wa Mataifa licha ya vitisho vilivyotolewa na  Marekani kwa ushirikiano na Israel.

Kwa kweli ni kwamba mataifa ambayo yameunga mkono uamuzi wa Marekani ni mataifa ambayo huwa hayasikiki na mataifa ambayo hayakuonesha msimamo ni Bahamas, Benin, Bhutan, Antigua, Guinea, le Rwanda, visiwa vya  Salomon na Vanuatu. Marekani imekosa mshirika.

Uamuzi wa Marekani kuhusu Jerusalem  na matendo ya unyanyasaji ya Israel yamepingwa na ulimwengu mzima  na mataifa makubwa  licha ya ukubwa wa Marekani na Israel  . Jambo hilo ni jambo muhimu ambalo limeonesha kuwa pesa hazina nafasi kunakohaki. Marekani ilifahamisha kuwa itachukuwa atua dhidi ya mataifa ambayo yatapiga uamuzi wake kwa kukata misaada.

Trump tajiri na mfanyabiashara wa New York inaonekana wazi alikuwa hana ujuzi na Mashariki ya Kati na ulimwengu wa kiislamu ukitazama kwa makini ukurasa wake wa Twitter. Hakufahamu ni kiasi gani  suala la Jerusalem alifikiri itakuwa ni fimbo kwa ulimwengu wa kiislamu sasa imemgeukia na kuwa fimbo kwake.Habari Zinazohusiana