Kamati ya ushirikiano baina ya Uturuki na Sudan kuanzishwa

Kamati ya ushirikiano baina ya Uturuki na Sudan kuundwa

Kamati ya ushirikiano baina ya Uturuki na Sudan kuanzishwa

 

 

Kamati ya ushirikiano baina ya Uturuki na Sudan inatarajiwa kuundwa kama ilivyofahamisha katika ziara ya rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan nchini Sudan.

Rais wa Uturuki alikutana na rais wa Sudan Omar al Bashir na kuzungumza masuala tofauti ikiwemo uundwaji wa kamati ya ushirikiano.

Jarida la habari la Sudan la SUNA  limefhamisha  kuwa Dr. Avad Ahmed el-Caz atafuatilia mazungumzo baina ya rais Erdoğan na rais Omar al Bashir ili kufikia katika atua ya vitendo katika zoezi la ushirikiano.

Kamati itakayo undwa itakuwa ikitoa ripoti pia kwa rais el Bashir.

Rais wa Uturuki alifanya ziara ya muda wa siku 3 nchini Sudan ambapo mikataba 21 ya ushirikiano ilitiwa saini baina ya Uturuki na Sudan.

 Habari Zinazohusiana