Trump aituhumu Urusi kuikingia kifua Korea-Kaskazini

Rais wa Marekani Donald Trump ameituhumu Urusi kuikingia kifua Korea –Kaskazini kukwepa vikwazo

Trump aituhumu Urusi kuikingia kifua Korea-Kaskazini

 

Rais wa Marekani Donald Trump ameituhumu serikali ya Urusi  kuingia kifua na kukwepa vikwazo vya kiuchumi .

Kwa mujibu wa rais wa Marekani Urusi inatoa msaada kwa Korea-Kaskazini.

Katika makala maalumu iliopeperushwa na kituo cha habari cha Reuters, rais Trump  amesema kuwa Korea-Kaskazini imeweza kukwepa vikwazo kutokana na msaada wa Urusi.

Trump amesema kuwa Urusi haitoi msaada hata kamwe kuhusu Korea-Kaskazini.

Kwa upande mwingine Trump amepongeza China kwa juhudi zake katika kuikenaisha Korea-Kaskazini kauchana na mpango wake wa nyuklia.

Trump aliendelea kusema kuwa Korea-Kaskazini inazidi kuongeza nguvu zake na kujiandaa kuishambulia Marekani jambao ambalo mfumo wa ulinzi unatakiwa kuimarishwa.Habari Zinazohusiana