Uchambuzi wa Matukio

Mazungumzo ya Astana na harakati za Uturuki  Afrin

Uchambuzi wa Matukio

Uturuki na Urusi ni mataifa ambayo yalishika hatamu  Syria katika juhudi za kusaka amnai nchini hum ona kuishirikisha Iran katika juhudi za  kusitisha mapigano na  nchini Syria kwa kuandaa mazungumzo ya amani mjini Astana. 

Katika mazungumzo hayo ya mani kwa ajili ya Syrian a mani ya kudumu  Iran ilishirikishwa.

Mazungumzo ya amnai yaliondaliwa mjini Astana  ni atua muhimu  ambao uamuzi wake ulichukuliwa  kwa lengo la kusaka amani  nchini Syria.

Uamuzi huo wa mazungumzo mefikia kipindi ambacho mapigano  nchini Syria tayari yametimiza miaka 6. 

Uamuzi huo ni uamuzi uliokuwa muhimu kwa lengo la kurejesha amani nchini Syria.

Makubaliano kati ya mataifa matatu hayo, Syri.a tayari ilikuwa  katika harakati za kusaka amnai  ambapo makundi tofauti yalikuwa yasiamia  yalikuwa yakishirikishwa. 

Makundi tofauti ya kikabila na jamii tofauti yalishirikishwa katika mazungumzo yaliokuwa na lengo la kufikia kuanka amani ya kudumu.

Mapigano ya Idlib nchini Syria yaliongeza shauku na juhudi za mazungumzo ya amani  Astana.

Uongozi waAssad na makundi ya wanambgambo wanaomuunga mkono  yaliweza kudhibiti baadhi ya miji katika operesehni tofauti zilizoendeshwa kama Idlib.

Katika operesheni hizo  jeshi la Assad na wanamgambo hao ambao walikuwa wakimuunga mkono Assad walipata usaidi kutoka Urusi wakati ambapo jeshi la anga la Urusi lilikuwalikiendesha mashambulizi ya anga katika miji na eneo hayo.

Mashambulizi yaliokuwa yakilenga uwanja wa ndege wa  Ebu Zuhur yalizuiliwa  na jeshi huru la Syria ambalo linampinga Assad na uongoz wake.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki alifahamisha kuwa uongozi wa Assad  unakwend kinyume na makubaliano kuhusu kusitishwa kwa mapigano Idlib.

Ni juhumu kwa Uturuki na Urusi kushinikiza  utawala wa Assad  kusitisha mapigano na mashambulizi.

Kushambuliwa kwa makundi yanayompinga Assad ni ujumbe uliowazi kwa wanaounga   mkono upinzani nchini Syria.

Rais wa Uturuki alifahamisha katika siku chache zilizopita  kuwa operesheni ya Afrin jeshi la Uturuki lipo tayari kuanza operesheni  hiyo  muda wowote . kauli ya rais wa Uturuki kuhusu opereshni Afrin alizua gumzo.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan alesema kuwa  muda wowote  operesheni zinaweza kuendeshwa kama ilivyokuwa Manbij na kuwaondoa magaidi na ngome zao Afrin. 

Vile vile rais wa Uturuki alisema kuwa viini vya ugaidi nchini Syria  vitaondolewa kwa muda mchache kama kufumba na kufumbua.

Rais wa Uturuki  amesema kuwa  kikosi cha watu  20 000 kipo tayari kuanza opereesheni hiyo Afrin  Feylak uş Şam .

Uturuki inalojukumu la kupamnbana na makundi ya kşgaidi na kuondoa tishio la ugaidi katika mipaka yake. 

Uturuki itasimiamia amani hadi kufikia  katika uturulivu usiokuwa na kifani. Ugaidi ni jambo ambalo lşnastahili kupigwa vita vilivyo kwa mbinu zinazostahili.

Serikali ya Marekani kwa upande wake ilifahamisha kuwa inalolengo la kutaka kuunda kikosi cha watu 30 000 ambacho kitajumuisha wanamgmbo kutoka katika kundi la YPG , kundi aöbalo linatambulika vema kuwa tawi la kundi la kigaidi la PKK nchini Syria.

Kikosi hicho ni kwa lengo ya kulinda amani mpakani mwa Syria kwa mujşbu wa Marekani.

Uamuzi huo wa Marekani  unaonekana  kuwa utawala una lengo la kushirikiana na kundi laYPG  na kuachana na mazungumzo au serikali ya Syria.

Kufuati jambo hilo Uturuki, Urusi na Iran zimeingilia kati kupinga uamuzi wa Marekani kutaka kushirikina na wanamgambo wa kndi hilo na kuundwa kwa kikosi hicho.

Katika mazungumzo ya amani kuhusu Syria yanayoendeshwa mjini Astana, Uturuki, Iran na Urusi yana lengo lakutaka kulinda ardhi ya Syrian a kuifanya kuwa kitu kimoja na sio kama inavyoonekana kuwa malengo ya Marekani.

Marekani nchini Syrian a Irak  inaonekana kuwa na lengo la kuundwa vikosi ambavyo vitakuwa vikiasimiana  ambapo Uturuki  kwa upande wake na washirika wake wana lengo la kuweka pamoja pande zote zinazoasimiana kupitia mazungumzo ya Astana .

Katika hali inayoonelana kwa sasa ni wazi kuwa Marekani inajaribu kuingiza kundi la kşgaidi  Syria chini ya pendera ya  kupambana na kundi la kigaidi.

Mataifa ya ghuba , Israel na  Saudi Arabia yna ushawishi mkubwa kutoka Marekani .

Baadhi  yya wanamgambo wa YPG Afrin wanazo silaha  na kuwa na ukaribu kwa kiasi na Urusi. 

Ushirikino na kundi hilo utakuwa ushirikiano ambao utazidisha utata katika operesheni itakayoongozwa na Marekani katika kikosi kitakacho undwa kwa ushirikiano na wanamagmbo wa YPG.

Tamko la kuwa operesheni ya kupambana na wanamgambo wa makundi ya kşgaidi Afrin  inaweza kuanza muda wowote ule . 

Uwepo wa wanmagambo wa YPG Afrin ni jambo lisilopingika  na lengo la operesheni hiyo ni kuwaondoa wanamgambo hao wa kigaidi.

Maeneo tofauti Afrin yapo chini ya miliki ya kundi la YPG. 

Raia wanaondo kila kukicha kutoka katika eneo hilo wakikimbia mashambulizi  na kuingia maeneo ya mpakani mwa Uturuki ili kunusuru maisha yao.

Raia wanaishi katika kambi kwa muda mrefu zilizoandaliwa na Uturuki.

Licha ya mashambulizi kuendelea na  na ukiukwaji wa makubaliano usaidizi bado yanendelea ili kufikia katika utatuzi


Tagi: Astana , Uturuki

Habari Zinazohusiana