Ofa kabambe kutoka Turkish Airlines

Shirika la ndege la Turkish Airlines limetoa fursa nzuri kwa abiria wake.

Ofa kabambe kutoka Turkish Airlines

Shirika la ndege la Turkish Airlines limetoa fursa nzuri kwa abiria wake.

Kwa mujibu wa habari,Turkish Airlines imetoa ofa muhimu kwa wale wanaosafiri kuelekea Ulaya ya Kusini.

Shirika hilo limetoa punguzo la bei kwa wanaosafiri kutokea Istanbul kuelekea vituo 24 katika nchi za Italia,Ufaransa,Ugiriki,Ureno,Uhispania na Malta kwa dola 139 tu.

Kwa abiria watakaotaka kutumia fursa hii,basi wawahi kwani nafasi zimebaki ni chache na watapata tiketi kutoka Istanbul kati ya Januari 17 na Januari 31 kwa dola 139 na kuanzia 12 Februari mpaka 7 June.

Bei zinaweza kutofautiana katika vituo tofauti vya kununulia tiketi.

Kwa maelezo zaidi ingia katika tovuti "www.turkishairlines.com" au piga nambari "444 0 849".Habari Zinazohusiana