Tamasha la barafu nchini China

Watu wamekusanyika kutizama tamasha la barafu mjini Harbin nchini China.

Tamasha la barafu nchini China

Watu wamekusanyika kutizama tamasha la barafu nchini China.

Nyumba,barabara.mraba wa fahari pamoja na katuni vilivyotengenezwa kwa barafu,vimewavutia wengi waliokuwa wakitizama.

Kwa mujibu wa habari,hali ya hewa ni ya baridi sana mpaka -20 .

Hata hivyo watazamaji wameonekana kuongezeka licha ya kuwepo kwa baridi kali.

Tamasha la barafu, ambalo limfanyika katika  eneo la mita za mraba elfu 800 huko Harbin, litaendelea hadi mwisho wa Februari.

Mwaka jana, watu milioni 18 walitembelea eneo la tamasha.


Tagi: barafu , tamasha , China

Habari Zinazohusiana