UAE na India zasaini mkataba wa kihistoria wa mafuta

UAE na India zasaini mkataba wa kihistoria wa mafuta.

UAE  na India zasaini mkataba wa kihistoria wa mafuta

 UAE na India zasaini mkataba wa kihistoria wa mafuta.

Kituo cha habari cha Emirates WAM kimeripoti kuwa Sheikh Mohamed bin  Zayed Al Nahyan ,mwana wa mfalme wa Abu Dhabi na Narendra Modi,waziri mkuu wa India wamesaini mkataba wa kihistoria wa mafuta ambao utahusisha makampuni ya mafuta 10 ya India kupata asilimia 10 ya faida kutoka katika makubaliano na Abu Dhabi.

Kwa mujibu wa habari,makubalano hayo yataanza kufanyiwa kazi Machi 9 na yatadumu kwa muda wa miaka 40.

 India imegharamia takriban $599 kuingia katika makubalianao hayo.

 


Tagi: mafuta , India , UAE

Habari Zinazohusiana