Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kufanya ziara nchini Kuweit

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu kushiriki katika mkutano kuhusu mapambano dhidi ya kundi la  wanamgambo wa Daesh

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kufanya ziara nchini Kuweit

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki atarajiwa kufanya ziara nzhini Kuweit kushiriki katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje ambao utafanyika nchini Kuweit kwa  lengo la kupambana na ugaidi na kuzungumzia kuhusu ujenzi wa Irak baada ya kuwaondoa wanamgambo wa kundi la Daesh waliosababisha uharibifu.

Çavuşoğlu katika zaira yake hiyo atakutana pia na waziri wa mambo ya nje wa Kuweit  na Irak.
Katika mkutano huo kutazungumziwa masuala tofauti ya kikanda.Habari Zinazohusiana