Ufaransa itashambulia Syria iwapo kutapatikana vithibisho kuhusu matumizi ya silaha za kemikali

Rais wa Ufaransa Emmanue Macron asema kuwa  Ufaransa inaweza kushambulia Syria iwapo  kutathibitishwa matumizi ya silaha za kemikali

Ufaransa itashambulia Syria iwapo kutapatikana vithibisho  kuhusu matumizi ya silaha za kemikali

Rais wa Ufaransa Emmanuel Maccorn asema kuwa Ufaransa inaweza kushambulizi Syria iwapo kutathibitishwa kuwa kulitumiwa silaha za kemikal katik a mashambulizi yaliowalenga raia.

Tagi: Syria , Ufaransa

Habari Zinazohusiana