Amiri jeshi mkuu wa Uturuki ajielekeza nchini Jordani

Hulusi Akar amiri jeshi mkuu wa Uturuki ajielekeza mjini Amman nchini Jordani

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki ajielekeza nchini Jordani

 

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akara ajielekeza mjini Amman nchini Jordani ambapo anaratarajiwa kufanya mazungumzo na viongoni tofauti nchini humo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa Hulusi Akara katika ziara yake hiyo atazungumzia mapambano dhidi ya ugaidi.

Vile vile kutazungumziwa kuhusu  hali inayoendelea nchini Syria na operesheni ya jeshi la Uturuki Afrin.

 

 Habari Zinazohusiana