Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Urusi na Iran wajiandaa na mkutano kuhusu Syria

Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Urusi na Iran wajiandaa na mkutano wa amani kuhusu Syria mjini Istanbul

Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Urusi na Iran wajiandaa na mkutano kuhusu Syria

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Serguie Lavrov na  Mohammad Jawad Zarif  wafanya mazungumzo kuhusu mkutano wa amani kuhusu Syria unaotarajiwa kufanyika mjini Isatnbul.

Mkutano kuhusu Syria unatarajiwa kufanyika mjini Istanbul baada ya mkutano wa Sochi.

Mkutano huo  unatarajiwa kufanyika chini ya usimamizi wa Uturuki , Urusi  na Iran wiki mbili zijazo mjini Istanbul.

Taarifa kuhusu mkutano huo imetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu Jumatatu.

Mkutano wa mwisho kuhusu Syria  ulifanyika Sochi Januari 29 na Januanri 20.Habari Zinazohusiana