Kiwango cha ukosefu wa ajira chaongezeka Uingereza

Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Uingereza (ONS), kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kimeripotiwa kuongezeka hadi asilimia 4.4 kutoka asilimia 4.3

Kiwango cha ukosefu wa ajira chaongezeka Uingereza

Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Uingereza (ONS), kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kimeripotiwa kuongezeka hadi asilimia 4.4 kutoka asilimia 4.3 ikatika robo ya awali ya miezi mitatu iliyopita ya Oktoba, Novemba na Desemba mwaka jana.

Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Uingereza ni asilimia 4.8 katika kipindi cha miezi hiyo mwaka 2016.

Idadi ya watu wasio na kazi katika miezi mitatu ya Oktoba, Novemba na Novemba mwaka jana iliongezeka kwa 46,000 ikilinganishwa na ilivyokuwa awali (Julai, Agosti na Septemba)

Kwa mujibu wa habari,kiwango kimeelezwa kufikia milioni 47.

Kwa upande mwingine, kulingana na takwimu za hivi karibuni, idadi ya watu wasio na ajira nchini ilikuwa chini ya 123,000 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka 2016.Habari Zinazohusiana