Kosa la kimkakati la Marekani

Wiki mbili zilizopita viongozi wa ngazi za juu kutoka Marekani walitembelea Uturuki kuzungumza na rais wa Uturuki

Kosa la kimkakati la Marekani

Wiki mbili zilizopita, tume ya viongozi  kutoka Marekani iliwasili Ankara kukutana na wanasiasa wa Kituruki. Pamoja na kuwa na malengo mengi,lengo kamilililikuwa ni kuzungumzia mikakati kwa dhumuni la kurekebisha na kuimarisha mazungumzo kati ya mataifa amwili na vilevile kupunguza matatizo ya mawasiliano kati ya pande hizo mbili..

Mbali na mambo haya masuala mengine yanaonekana kuwa yanaendelea kwa njia ile ile kama ilivyokuwa miaka minne iliyopita. Maafisa wa Kituruki, wamekuwa wakiikosia Marekani kila siku moja kutokana na kuwa katika ushirikiano na kundi la PKK/PY .Wakati maafisa wa Marekani wanajua kuwa kundi hilo ni la kigaidi wamekuwa wakikwepa kujibu maswali yoyote kuhusiana na suala hilo.

Wafanyakazi wengine wa Marekani, na hata CIA, wamekubali ukweli kwamba PYD ni PKK. Lakini msemaji wa Marekani na baadhi ya maafisa wengine wa nchi hiyo wanajifanya kama hawajui kinachoendela na hukasirika Uturuki inapozungumzia suala hilo.Uturuki nayo imeghadhabishwa na vitendo hivyo na kupaza sauti dhidi ya Marekani.Marekani imekuwa ikivishambulia vyombo vya habari na waandishi wanaozungumzia suala hilo badala ya kujaribu kurekebisha makosa yao wenyewe.Marekani imeonekana kujaribu kukwepa lawama.

 Kundi la PYD / PKK linatishia uwepo wa taifa la Uturuki

 Marekani imekuwa ikishirikiana na kundi la PYD / PKK na kuanzisjha mahusiano ya kijeshi na kundi hilo toka mwaka 2014.Kundi kama DAESH limweza kuwa katika mpaka wa Uturuki kaskazini mwa Syria na wakati wa mashambulizi ya Rojova wanamgambo wa Kikurdi waliokuwa kaskazini mwa ıraq(KRG) waliruhusiwa kupita Uturuki na kuingia Rojova wakiwa na silaha zao.

Kitu ambacho Marekani wameshindwa kuelewa ni kwamba utengenezaji wa ushirikano kati ya Marekani na PKK uliofanywa wakati wa uatwala wa Obama unahatarisha mahusiano kati ya Uturuki na Marekani.Tukitizama kwa jicho la akwaida tunaona kabisa sera za kigeni za Obama zilitegemewa kuwa hivyo baada ya yeye kuwa mshauri mkubwa wa masuala hayo.

Muungano huu ni msingi muhimu wa taifa la Uturuki na wakati mwingine-kama wanasayansi wa kisiasa wanavyosema " kusawazisha uvukaji wa mipaka" na unahaja wa kusikika.. Kutoka mwisho wa karne ya kumi na tisa, wakati wa utawala wa Ottoman chanzo kikuu cha wasiwasi kwa mamlaka ya jamkhuri ya Kituruki kilikuwa ni hicho na pia kuliluwa na uwezekano wa kujenga vitisho tofauti kutoka upande mmoja.

Mshirika wa Uturuki hatimaye alipatikana  katika mtu wa Marekani wakati wa Vita ya Pili ya Dunia. Maafisa wa Marekani ,Soviets mpaka hapo mwaka 1946walaimua kuwa mapambano ya kisiasa hayawezi kudumu kwa muda mrefu na wanaamini muungano ni jambo bora. Uturuki ambayo ilikuwa jirani na mpaka wa USSR ingekuwa mshirika wa mstari wa mbele wa Marekani na bila ya jeshi la Uturuki kuwela msiamo mkali wa kisiasa hali ingekuwa mbaya.Wakati wa vita baridi pamoja na kuwa kulikuwa na idadi kubwa ya wanajeshi wa Marekani nchini Uturuki na USSR,Marekani ni tisho kubwa sana kwa kuwa na maslahi yao nchini Uturuki.

Hayo hayakubadilika tangu katika kipindi cha vita baridi. Licha ya kudhoofisha kwa kiasi katika kipindi kifupi,  Urusi itaendelea kuwa tishio kwa Uturuki  kwa kipinid kirefu kama ilivyoshuhudiwa katika kipindi cha  miaka kadhaa iliopita. Na Marekani  ilihusika kwa kiasi kikubwa  katika mizozo ya kikanda  na kuweka  vikosi vyake  kwa lengo la kushawishi.

Mwaka 2014 ulikuwa mwaka wa mabadiliko

Tangu mwishoni mwa mwaka 2014 hali imeonekana kubadilika  na hilo kutokana na uwepo wa Urusi nchini Syria  jambo ambalo lilisababishwa na uongozi wa Obama kwa kutokuwajibika kuhusu mzozo wa Syria. Hakukuepo na  mashaka  kuhusu uwepo wa Urusi  na kuzidi kuwa na mashaka.

Ila uongozi wa  Obama  ulionesha kuwa na ushirikiano na kundi la kigaidi la PYD/PKK na kukubaliana kuwa  kundi hilo litaendelea kuwa tishio kwa Uturuki  na ardhi yote ya Uturuki.  Kwa upande mwingine uongozi wa Obama ulichagua upande ambao ulikuwa ukitishia usalama wa Uturuki mara kwa mara.

Kutoka na kugundulika kuwa Marekani inashirikiana na  kundi la kigaidi la PKK/PYD na ikiwa ni mshirika wa Uturuki, ushirikiano bain aya Marekani na Uturuki  kimkakati pia umeathirika kutoka na ushirikiano hauo na kundi la kigaidi.  Marekani iğmechugua kundi hilo kuwa mshirika wake wa kimkakati .  Ni wajibu wa taalamu wa kihistoria ambao wana ujuzi mkubwa katika historia  kutua  tathimini  kivip Marekani ilijikuta ikishirikiana na  kundi hilo. Kwa sasa  tunashuhudia ni kiasi gani Marekani  imeweza kusalita taifa mshirika ambapo kwa sasa pia taarifa zipo wazi na kujieleza. Uaminifu baina yake na Uturuki umeondoka kutokana na jambo hilo. Na kama uaminifu utakuepo basi  utakuwa uaminifu wa mashaka.

Gülen ni tishio kwa utawala wa Uturuki

Kwa bahati mbaya  Marekani ushirikiano wake  hauishii katika kushirikiana na PKK,  kwa wle ambao wanatazama  hali kwa macho yote mawili na kuelewa, ni wazi kwao  tangu Disemba mwaka 2013 kiongozi  Fethullah Gülen  amekuwa tishio kwa Uturuki na demokrasia . Kufeli kwa jaribio la mapinduzi Julia 2016 kulipekewa na raia ambao hakukubaliana na jambo kama hilo kutendeka nchini Uturuki . Kundi la kiongozi huyo lilijaribu kuendesha mapinduzi  bila ya kufaulu na kufautia na uharibifu.  Ilionekana wazi kuwa kundi hilo halikuwa na lengo zuri kwa taifa.

Kila mtu anatambua kwa sasa wapi anakoishi  Güle, Gülen anaishi Marekani tangu mwaka 1999.  Ni  Marekan ndio imezidisha  vitivyo kutoka kwa kundi la kigaidi şa PYD/PKK kwa kushirikiano nalo na kutoa hifadhi   kwa kiongozi huyo katika ardhi yake.

Licha ya kutolewa kwa ushahidi dhidi ya kiongozi , Marekani  hadi kufikia sasa hakuna  mikakati ilioanzishwa  ili  Gülen arejeshwe nchini Uturuki.

Kuna mkakati na mtazamo mwingine ambao ni mtazamo uliothabiti kuhusu suala hilo.  Ikiwa Marekani ni tishio   katika ushirikiano wake na  Uturuki , Uturuki haiwezi kuonekana kama  tishio kwa uwepo wa wanajeshi wake? Kwa mtazamo wangu ningependa kusema kuwa  sio muhusika wa masiasha ya  mwanasiasa  wa Uturuki na mpiga kura  na kutoa matua katika kioindi cha uchaguzi.

Raia na matokeo ya miaka mitano iliopita, wamejiuliza kuhusu uwepo wa jeshi la Marekani Uturuki . Kulijadiliwa  n maswali mengi yalijitokeza kuhusu hilo na mwishowe ikaonekana kuwa inachanganya.

Matukio ya hivi karibuni ndio uthibitisho thabiti kwa kuwa uwepo wa jeshi la Marekani umeonesha kuwa  tishio kwa serikali ya Uturuki .

Hali kama hiyo  ni tangu  miaka 70  iliopita na kwasasa haitakiwi kuonekana kuwa Marekani bado inaushawishi  kwa jeshi la Uturuki.

Wakati ambapo biğnadamu  wanashuhudia mabadiliko katika jambo fulani kabla ya kutumia busara huanza kufurahiya mabadiliko  bila ya kufikiria ni kipi haswa kitakachofuata. Swali ambalo wanasiasa wa Uturuki walijiuziliza kuhusu ushirikiano na  Marekani ulipelekea kutaka kuzidi kiifahamu historia ya Marekani. Na jambo ambalo ninaoneka kuwa halitoipukika ni  hasira katika wakati ujao kutokana na matendo yakayofuata.

5 kubadilisha mtazamo wa kimkakati

Marekani inatoa usaidizi kwa kundi la kigaidi la PKK/PYD ambalo linatishia usalama wa Uturuki na Fethullah Gülen. Kundi hilo ni tishio thabiti kwa Uturuki  tangu miaka 75. Kwa sasa Marekani imeonekana pia kuwa tishio kwa uTuruki katik a karne tuliopo, tangu  karne tatu Ufaransa na Urusi.  Washirika hao  walikuwa pamoja kusambaratisha utwala wa Dola ya Uthmania.

Marekani inajaribu kugawanya Uturuki kwa kuunga mkono na kutoa usaidizi kwa kutafuta njia ya kujipenyeza  kwa wafuasi wa makundi yanayopinga serikali katika serikali ili kufikia katika malengo yake. Kujipenyeza huko ni pamoja na  kutumia watu wenye misimamo mikali ya kidini. Marekani ifahamu kuwa karne ya 19 tayari imekwisha pita. Uingereza sio Uturuki  na Urusi ina tofauti na Urusi. Hivyo basi  wanasiasa wa Uturuki  wamesimama kidete  kwa kuwa wao ni  wawakilishi wa rai ana demokrasia watafanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha  usalama unazidi kuimarika katika maeneo yote hasa katika mipaka yake.

Mfano hai wa Uturuki katika kukabiliana na uhatari kutoka nje , Uturuki imeongeza uwezo katika kipindi cha miaka 10 iliopita ili kufikia malengo yake iliojiwekea kwa kutengeza sialaha zake za kisasa yenyewe bila ya kutegemea nje.  Juma lililopita jeshi la Uturuki limtangaza kunnda vifaru visivyokuwa na dereva  na kufaanikisha  katika mapambano dhidi ya ugaidi katika operesheni yake  ilioanzishwa Afrin. Vifaru hivyo visivyokuwa na dereva  ni dhidi yaugaidi na makundi ya kşgaidi kama  PYD/PKK.

Tangu karne ya 19 Marekani  na Utawala wa Dola ya Uthmania zilikuwa zikishirikiana  kşjeshi kwa kutoa mafunzo kwa wanajeshi. Ila kwa sasa katika mapigano ya Efratia na operesheni ya  Tawi la Mzaituni  inayoendelea Afrin. Uturuki inatumia silaha zake za kisasa.  Wizara ya  sayansi na teknolojia  imesimama kidete.

Vile vile  tunafahamu kuwa  katika mashambulizi  watu wanaoathirika ni rai ana ndio kiasi kikubwa amabocha kinapoteza maisha. Inafahamika kuwa Uturuki inapambana dhidi ya ugaidi na waasi  baada ya operesheni hiyo lengo lake ni kuwaondoa magaidi. Kwa upande mwingine umetoa kipaumbele katika utengenezaji wa sialaha za kisas ana suala zima la masuala mambo ya nje.

 Vile vile katika upande wa  misaada ya kiutu  kutoka Uturuki, Uturuki pia imejipatia nasafi  kwa kutoa misaada kwa kile kinachowezekana.  Uturuki meweza kupunguza ushawishi kutoka nje katika ununuzi wa silaha . Uturuki imeinua  mbinu zake  katika  teknolojia  katika utengenezaji wa silaha.Habari Zinazohusiana