Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi 3444 Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki lafahamisha kuwaangamiza magaidi 3444 katika operesheni yake dhidi ya ugaidi Afrin Syria

Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi 3444 Afrin nchini Syria

Magaidi 3444 wameangamizwa na jeshi la Uturuki tangu kuanza kwa operesheni ya Tawi la Mzaituni Januari 20 Afrin.

Uturuki ilianza operesheni hiyo kwa lengo la kuwaondoa magaidi  wa PKK/PYD/YPG na wanamgambo wa Daesh  katika eneo la mipakani mwa Uturuki.

Operesheni ya tawi la mzaituni inayoendelea nchini Syria  itasitishwa  wakati kutakapo hakikishwa kuwa  hakuna gaidi hata mmoja  anaetishia usalama Uturuki katika mipaka yake.

 


Tagi: PKK , ugaidi , Syria , Afrin

Habari Zinazohusiana