Mashirika mawili ya Uturuki kutengeneza mashua za kivita Qatar

Mashirika mawili kutoka Uturuki  kutengeneza mashua za kijeshi nchini Qatar

Mashirika mawili ya Uturuki kutengeneza mashua za kivita Qatar

Mashirika mawili kutoka nchini Uturuki yamekubaliana na Qatar kutengeneza meli za kşvita katika harakati za kuimarisha ulinzi wa Qatar.

Mashirika hayo yamekubaliana Jumanne  kutengeneza meli 17 za kijeshi.

Makubaliano hayo yamesainiwa  katika  maonesho  ya silaha na jeshi la majini yalioandaliwa mjini Doha nchini Qatar  "DIMDEX 2018" .

Taarifa zilizotolewa na mwanahabari wa shirika la Anadolu amesema kuwa  shirika la Yonca-Onuk  litatengeneza meli 8 kwa ajaili ya  jeshi la Qatar huku shirika la ARES likitengeneza  meli 9 kwa ajili ya wizara ya  mambo ya ndani ya Qatar.


Tagi: ulinzi , Uturuki , Qatar

Habari Zinazohusiana