Mnyama mrefu zaidi duniani amegundulika kuwa na sumu

Mnyama mrefu zaidi duniani amekutwa kuwa na sumu.

Mnyama mrefu zaidi duniani amegundulika kuwa na sumu

Mnyama mrefu zaidi duniani amekutwa kuwa na sumu.

Watafiti nchini Sweden wamegundua kuwa mnyoo huyo mwenye urefu wa mita 55 ana sumu lakini sumu hiyo haina madhara yoyote  kwa binadamu.

Profesa wa chuo kikuu cha Uppsala nchini Sweden,Prof. Dr. Ulf Göransson wakati alipohojiwa na kituo che televisheni cha taifa amesema kuwa  utafiti kuhusiana na minyoo inayoishi katika hali ya baridi nchini humo umeoyesha kuwa minyoo hiyo ina sumu.

Kwa mujibu wa habari,inawezekaan siku za usoni minyoo hiyo ikatumika kutengeneza dawa.

Minyoo hiyo kwa lugha ya kirumi inaitwa "Lineus longissimus",na ina urefu wa mita 55-60.

 Habari Zinazohusiana