Mvutano kati ya Magharibi, Urusi na Uturuki
Makala kutoka kwa Yazar Can ACUN kitengo cha utafiti cha siasa, uchumi na jamii SETA

Nchini Ungereza jasusi wa zamani wa Urusi alipewa sumu ya mchanganyşko wa kemikali pamona na binti yake mjini London. Serguie Skripal pamoja na binti yake Yulia walikuwa waathirika wa sumu hiyo waliopewa mjini London. Hali hiyo ilipellekea ushirikiano baina ya mataifa ya Magharibi na Urusi kuyumba kidiplomasia. Hali ya mgogoro iliibuka baina ya Uturuki na Uingereza na mataifa tofauti ya Magharibi.
Mataifa ya Magharibi yameituhumu Urusi moja kwa moja kuhusika na shambulizi hilo la sumu lililomlenga jasusi huyo wa zamani wa Urusi pamoja na binti yake. Kama adhabu kwa Urusi mataifa ya Magharibi takriban 25 yaliwafukuzaa wanadiplomaisi wapatao 140 wa Urusi katika mataifa yao. Ushirikiano wa kidiplomasia umeonekana kuyumba baina ya mataifa hayo na Urusi. Mataifa ambayo yaliwafukuza wanadiplomasia wa Urusi ni Marekani , Canada, Australia, New Zeland, na mataiga ya Umoja wa Ulaya.
Waziri wa mambo ya nje wa Ursui alikemea tuhuma ambazo zilitupiwa Urusi kuhusika na sumu ambayo inadaiwa kutolewa na Urusi kwa lengo la kumdhuru jasusi wa zamani Serguie Skripal pamoja na binti yake. Tutaangazia mashirika ya kimataifa na Magharibi na Umoja wa jeshi la Magharibi NATO na siasa ambazo zinaonekana kuilenga Urusi.
Urusi inatuhumiwa kuhusika na jambo hilo na mataifa ya muungano wa NATO.
Makala yetu imetaarishwa na Yazar Can ACUN kutoka katika kitengo cha utafiti cha siasa, uchumi na jamii SETA.
Hali hiyo ambayo inashuhudiwa baina ya Urusi na mataifa ya Magharibi inakumbusha kipindi cha vita baridi. Kwa sasa tukio hilo la Serguia Skripal hatuwezi kusema kuwa ni vita baridi katika ulimwengu wa sasa. Haiwezekani kusema kuwa au kufiriki kuwa Urusi itaunda vizuizi dhidi ya Magharibi na mataifa jirani.
Kuchukuliwa kwa Krimea na Urusi, ushirikiano baina ya Urusi na mataifa ya Magharibi kuhusu Ukraina, vikwazo vya kiuchumi vilipelekea vita na mvutano kşuchumii baina ya Magharibi na Urusi. Tukio la hivi karibuni kuhusu Skripal linaweza kuchukuliwa tu kama tone la mufata katika moto.
Kumeshuhudi kauli mbili Magharibi na siasa za Urusi kuwa za misimamo ya wastani katika mataifa ya Magharibi kuhusu suala hilo hususan nchini Ujerumani . wakati ambapo kunashuhudiwa mvutano wa kidiplomasia baina ya Magharibi na Urusi, Uturuki inaendelea kufuata ajenda yake ya siasa za nje.
Uturuki inatoa kipaumbele katika maslahi ya ndani katika taifa lake.
Katika matukio kama tukio la Skripal wakati Uturuki na mshirika wa jeshi la kujihami la NATO. Wanadiplomasia wa Urusi wamefukuzwa Magharibi huku Uturuki ikisema kuwa unalinda maslahi yake na Urusi. Urusi na Uturuki zimekubaliana ushirikiano katika mradi wa nyuklia wa Ukkuyu. Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ameshirikiana na rais wa Urusi Vladimri Putin katika uzinduzi wa mradi huo wa nyukia ambapo mitungi minne inatarajiwa kuanza kufanya kazi ifikapo mwaka 2023. Kutazailishwa kiwango cha MW 4800 za umeme na asilimia 10 ya nishati Uturuki itakuwa imepatiwa ufumbuizi.
Uturuki imeimarisha ushirikiano wake katika awamu ya kwanza katika miradi yake na Urusi vile vile hatua inayotarajiwa katika hatua ya tatu ni katika eneo la Balkans na mradi wa gesi. Vile vile miradi mingine katika sekta ya nishati Uturuki imewekeza ili kufaanikisha miradi hiyo.
Uturuki haishikiani tu na Urusi inataraji pia kuzidisha ushirikiano wake na mataifa ya Umoja wa Ulaya na Marekani. Uturuki imesaini na Urusi mkataba kuhus mfumo wa kujşhami na makombora wa S-400 na kuendelea mazungumzo ili kufikia ununuzi wa mfumo wa kujihami na makombo kutoka mataifa ya muungano wa NATO. Kwa uapnde mwingine, Uturuki, Ufaransa na Italia zimesaini katika hatua ya kwanza kuhusu uzalishaji kwa pamoja wa mfumo wa kujihami na makombora. Uturuki inawajibika na kuwa na umhuimu mkubwa katika ujenzi wa ndege za kivita za F-35.
Hali ya mvutano baina ya Uturuki na washirika wake wa NATO inaendelea kuhusu magaidi wa kundi la FETÖ, PKK/YPG . Kwa wakati huo huo Uturuki ikizungumza kuhus Krimea na Urusi Ukraina na Ghuta Mashariki. Uturuki inaendelea kulinda maslahi yake kwa kufuata siasa ya mchujo na isiopendelea upande mmoja.
Makala yetu imetaarishwa na Yazar Can ACUN kutoka katika kitengo cha utafiti cha siasa, uchumi na jamii SETA.