Marekani kuendelea kutoa msaada wa silaha kwa kundi la kigaidi la PKK/PYD

Idara ya ulinzi ya marekani kuendelea kutoa mchango na silaha kwa washirika wake Syria

Marekani kuendelea kutoa msaada wa silaha kwa kundi la kigaidi la PKK/PYD

Idara ya ulinzi ya marekani kuendelea kutoa mchango na silaha kwa washirika wake Syria iwapo baraza la kongres litapitisha msuada huo.

Marekani kuendelea kutoa msaada  wa silaha na mahitaji mengine kwa wanagambo wa kundi la kigaidi la PKK. Msuada huo kuhusu msaada kwa wanamgambo wa kundi la PKK/PYD indapo utapitishwa na baraza la kongres,  msaada wa thamani ya dola milioni 300 utatolewa kwa wanamgambo wa kundi hilo.

Msaada huo umewekewa bajeti ya  katika mradi wa  fedha kwa ajili ya vita   kwa lengo la ulinzi mwaka 2019.  Marekani imeomba baraza la kongres silaha  na mahitaji mengine kwa ajili ya wanamgambo hao ambao wanakadiriwa kuwa  zaidi ya 65 000.

Katika bajeti hiyo ya milioni 300,  kiwango cha milioni 162,6 kitatumiwa kununua silaha.  Miongoni mwa  silaha ambazo zinatarajiwa kununuliwa ni pamoja na Kalachnikov 25.000 , AK-47 1.500 ni silaha nyingine nyingi.

 Habari Zinazohusiana