Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na Didier Reynders kuhusu PKK

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu azungumza na Didier Reynders kuhusu  kundi la PKK nchini Ubelgiji

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na  Didier Reynders kuhusu PKK

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu azungumza na Didier Reynders kuhusu harakati za kundi la kigaidi la PKK nchini Ubelgiji.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amesema kwa kundi la PKK linaendelea kuweka mizizi yake nchini Ubelgiji. Akiwa mjini New York, waziri mkuu amezungumza na  waziri wa mambo ya nje wa Ubelgiji kuhusu harakati za kundi la kigaidi la PKK nchini Ubelgiji.

Waziri Mevlüt alishiriki katika mkutano wa Umoja wa Mataifa ulioandaliwa  kwa lengo la kujadili suala zima la amani na na mbinu za kudumisha amani.

Katika mkutano huo waziri  wa mambo ya nje wa Uturuki amezungumzia harakati za kundi la kigaidi la PKK nchini Ubelgiji.

 

 

.Habari Zinazohusiana