Trump kukutana na Putin

Kuna uwezekano wa Donald Trump na Vladimir Putin kukutana katika mkutano wa NATO unaotarajia kufanyika 11-12 Novemba mjini Brussels.

Trump kukutana na Putin

Kuna uwezekano wa Donald Trump na Vladimir Putin kukutana katika mkutano wa NATO unaotarajia kufanyika 11-12 Novemba mjini Brussels.

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Marekani ni kwamba Marekani na Urusi zimeitwa katika mkutano huo wa NATO.

Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesisitiza umuhimu wa Trump kukutana na Putin katika mkutano huo.

Hayo Stoltenberg ameyazungumza katika ziara yake mjini London.

Hata hivyo Jens Stoltenberg amehakikisha kuwa mkutano kati ya Trump na Putin hautavuruga ratiba zozote za mkutano wa NATO.

Tagi: Putin , Trump

Habari Zinazohusiana