Angelina Jolie atembelea kambi za wakimbizi Iraq

Angelina Jolie,balozi wa kujitolea wa shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi (UNHCR) ametembelea kambi za wakimbizi waliokimbia vita vya Syria

Angelina Jolie atembelea kambi za wakimbizi Iraq

Angelina Jolie,balozi wa kujitolea wa shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi (UNHCR) ametembelea kambi za wakimbizi waliokimbia vita vya Syria na kuelekea katika kambi za Domiz nchini Iraq.

Nyota huyo wa Hollywood amevutiwa sana na mama mmoja anayejitahidi kuwahudumia wanae watano katika kambi hizo.

Toka mwaka 2001,Angelina Jolie ametembelea kambi za Domiz mara tatu na Iraq mara tano.Habari Zinazohusiana