Uturuki imeonesha mfano Julia 15 na kuwa na matumaini na wakati ujao

Msemaji wa ikulu   mjini Ankara Ibrahim Kalın amezungumza katika makala maalumu katika jarida la Daily Sabah

Uturuki imeonesha mfano Julia 15 na kuwa na matumaini na wakati ujao

 

Msemaji wa ikulu ya rais mjini Ankara Ibrahim Kalın amezungumza katika jarida la Daily Sabah, jarida amablo huchapisha habari zake kwa lugha ya kiingereza kuwa Uturuki imetoa mfano ambao unastahili kuingwa Julai 15. Uturuki  imeshangaza ulimwengu na sasa  waturuki wana matumaini makubwa katika wakati ujao.

Katika makala hiyo, Ibrahim Kalın  amesema kuwa majukumu   Uturuki imejipata katika majukumu makubwa  yaliokuwa hayakutegemewa baada ya jaribio la mapinduzi. Majukumu hayo ni baada ya  ya ushindi wa raia wazalendo kuzuia jaribio la mapinduzi  dhidi ya maadui wa Uturuki na maadui wa demokrasia . Majukumu hayo ni pamoja na kuhakikisha kuwa tukio kama hilo halitokei tena Uturuki.

Ibrahim Kalın amesema kuwa iwapo jaribio la mapinduzi lililfeli nchini Uturuki lingetokea katika taifa mbalo  taasisi zake katika uongozi ambazo ni dhaifu, bila shaka taifa hilo  lingeingi katika hali  mbayo kiuchumi isiokuwa ya kawaida. Kama  jambo hilo lingetokea katika taifa ambalo demokrasia yake ilikuwa sio imara basi taifa hilo  kisiasa  lingeelekea katika hali ya hatari na kuyumbishwa kwa usalama.

Uturuki imetoa funzo kubwa kwa ulimwengu katika usiku ya jaribio la mpainduzi na hali ya dharara iliokuwa imewekwa Uturuki  imetangazwa kuongolewa wiki ijayo kama ilivyotangazwa na rais Erdoğan baada ya uchaguzi mkuu  uliofanyka Uturuki Julia 24.

Ibrahim Kalın ameendelea kusema kuwa  taasisi na uongozi Uturuki zimebaki kuwa imara hata baada ya  mashambulizi yalioendeshwa na wahaini.

 Habari Zinazohusiana