Matteo Salvini  : " Hukutojengwa miskiti mipya"

Waziri wa mambo  ya ndani wa Italia  asema kuwa viwanja vinavyotolewa  kwa ajili ya ujenzi wa miskiti nchini Italia kunazua ghadhabu  miongoni mwa raia

Arap cami.jpg
Salvini.jpg

 

Matteo Salvini waziri wa mambo ya ndani wa Italia  mrengo wa kulia amesema kwamba  kutolewa kwa viwanja kwa  ajili ya ujenzi wa miskiti kunazua ghadhabu miongoni mwa raia.

Baada yafahamisha  hayo Jumapili ameendelea akisema kuwa hakutokuwa na ujenzi wa miskiti mipya nchini Italia.

Katika ukurasa wake wa Twitter, Salvini aliandika ujumbe ambao umenukuliwa kuwa « hakutokuwa na ujenzi wa miskiti  mipya kote nchini Italia ».

Waziri Salvini ameendelea  kafahamisha kuwa  ardhi ya mamlaka  haitotolewa kwa ajili ya ujenzi wa miskiti.

Nchini Italia kunapatikana miskiti 6 ambayo ni rasmi inayotambulika na serikali huku  « miskiti » midogo zaidi ya 700 ikiwa  katika maeneo tofauti.Habari Zinazohusiana