Qatar na Mamlaka ya wapalestina zasaini mkataba wa  ushirikiano

Mamlaka ya wapalestina na Qatar zasaini  mkataba wa ushirikiano

Qatar na Mamlaka ya wapalestina zasaini mkataba wa  ushirikiano

Mamlaka ya wapalestina na Qatar zasaini  mkataba wa  ushirikiano katika  sekta ya  kilimo, mifugo na uvuvi.

 Waziri wa mazinginra wa Qatar Mohammed bin Abdullah al Rumaihi na waziri wa kilimo wa mamlaka ya wapalestina  Sufian Sultan wamesaini   mkataba wa ushirikiano mjini Doha.

Taarifa hiyo imetolewa katika jarida la QNA.

Ushirikiano huo ni pamoja na kupeana taarifa kuhusu mazao, utafiti, miradi ya kilimo na mifugo ikiwemo pia ufugaji wa samaki wa kisasa na matibabu ya maradhi yanayokumba mifugo.Habari Zinazohusiana