Umoja wa mataifa watuma msaada Idlib

Umoja wa Mataifa umetuma msaada Idlib nchini Syria.

bm idlib yardim1.jpg

Umoja wa Mataifa umetuma msaada Idlib nchini Syria.

Kwa mujibu wa habari,malori ya misaada yamepitia mpaka wa Cilvegozu na kuivuka Reyhanli wilayani Hatay kuingia Idlib.

Tani 580 za misaada zitagawiwa kwa wananchi Idlib na maeneo ya vijijini.

 Habari Zinazohusiana