Uturuki yataka makubaliano ya Sochi yazingatiwe

Makubaliano yaliyofanywa mjini Sochi yalihusisha kuzuia mauaji nchini Syria

Uturuki yataka makubaliano ya Sochi yazingatiwe

Makubaliano yaliyofanywa mjini Sochi yalihusisha kuzuia mauaji nchini Syria.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amewakumbusha viongozi wa Iran na Urusi kuhusu hilo.

Waziri Çavuşoğlu amefanya mazungumzo ya simu na waziri wa mambo ya nje wa Iran Cevad Zarif na waziri wa mambo ya nje wa Qatar Mohammed bin Abdurrahman al-Thani kuhusu hali inayoijiri nchini Syria.Habari Zinazohusiana