Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na Mike Pompeo  kuhusu Idlib

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Marekani kuhusu Idlib

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na Mike Pompeo  kuhusu Idlib


Mevlüt Çavuşoğlu azungumza kwa njia ya simu na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo kuhusu  mkutano uliofanyika kati ya rais Erdoğan na Vladimir Putin kuhusu Idlib nchini Syria.

Viongozi hao waliafikiana katika mkutano wao kuwa Idlib kutasitishwa mapigano  kuanzia Oktoba 15.Habari Zinazohusiana