Mafuriko nchini Iran

Mvua kubwa katika ameneo tisa tofauti imesababisha kifo cha mtu mmoja nchini Iran.

Mafuriko nchini Iran

Mvua kubwa katika ameneo tisa tofauti imesababisha kifo cha mtu mmoja nchini Iran.

Kwa mujibu wa habari,maeneo tisa yameathirika yakiwemo maeneo ya Iran Kaskazini,Azerbaijan Mashariki,Azerbaijan Kaskazini, Ardabil, Semnan na Mazenderan.

Watu wengine watatu hawajulikani walipo mpaka hivi sasa.

Timu ya uokoaji inajaribu kufikisha misaada muhimu kwa waathirika.

Tagi: mafuriko , Iran

Habari Zinazohusiana