Treni yagongana na baiskeli nchini Uholanzi

Treni imegonga baiskeli na kusababisha vifo vya watoto wawili nchini Uholanzi.

Treni yagongana na baiskeli nchini Uholanzi

Treni imegonga baiskeli na kusababisha vifo vya watoto wawili nchini Uholanzi.

Kwa mujibu wa habari,baiskeli ilikuwa imebeba watoto ikiwapeleka shuleni katika eneo la Oss Uholanzi.

Watoto wengine wawili wamejeruhiwa.

Uchunguzi zaidi kuhusu sababu ya kutokea kwa ajali hiyo unaendelea.Habari Zinazohusiana