Timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki mshindi wa kombe la Ulaya

Timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki yaibuka mshindi wa michuano ya Ulaya

Timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki mshindi wa kombe la Ulaya

Timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki yaibuka mshindi wa michuano ya Ulaya

Timu ya walemavu ya Uturuki imeibuka mshindi katika michuano ya Ulaya kwa kuilaza timu ya taifa ya Uingereza kwa mabao mawili kwa moja.

Mechi ya fainali iliandaliwa katika uwanja wa Vodafone Park mjini Istanbul ambapo kunakadiriwa kuwa watu zaidi 40 000 walishuhudia pambano hilo kali lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa.

Timu ya Uturuki ilikuwa ya kwanza kufunga bao lake la kwanza kabla ya kumaliziki kipindi cha kwanza kwa ushujaa wa Ömer  Güleryüz.

Uingereza kwa upande wake ni Westbrook  ambae aliipatishia matumaini kwa kufunga bao la kwanza.

Uturuki, bao lake la ushindi lilisawazishwa na Osman Çakmak na kuongozi hadi mwisho wa mchezo.

 Habari Zinazohusiana