Wanamieleka wa Uturuki wachukuwa medali 6 za Golden Grand Prix

Wanamieleka wa Uturuki wachukuwa medali  6  katika michuano ya Golden Grand Prix

Wanamieleka wa Uturuki wachukuwa medali  6 za Golden Grand Prix

 

Wanaieleka wa Uturuki katika michuamo ya  Golden Grand Prix waetunukiwa medali 6 ikiwa ni pamaoja na meadali moja ta dhahabu, medali 3 za fedha na medali 2 za  shaba.

Michuano hiyo ya Golden Grand Prix iliandaliwa nchini Croatia ambapo Uturuki imechukuwa medali 6.

Wana mieleka waliojichaukulia medali hizo ni Doğuş Ayazcı ,  Rahman Bilici, Yunus Özel, Ramazan Sarı , Müslüm Alınlı,  Volkan Çakıl .

 Habari Zinazohusiana